Friday, September 16, 2005

The waves
Takes me
Unsolicited destination


Saturday, September 03, 2005

Hoping

If it happens, that words could forever reverberates
Adjourning the soul in this recital of words
I’m hoping it shall be my name,
Reverberating through your lips

Though I’m uncertain if memory could endure the aging race
A legendary masterpiece is unforgettable -even if it’s in a short glance
I’m hoping I will be unending in your mind
Everlasting glow remains through the darkness
Kindly awaking your heart on its time of silence

Witnessing the silence of the sky
Towards embracing the earth without boundaries
I’m hoping you will embrace my heart with love
Giving love with out limits or boundaries
For love can be spacious-unlimited as the sky

© 2005, Nasra Al Adawi


Kutumaini
(Swahili Transltion )

Kama itatokea, maneno milele kurindima
Nafsi kuipokea, inayoyaghani daima
Ni matumaini yangu ni jina langu
Ndilo litarindima mdomoni pako.

Ingawa sina yakini ufahamu kutopotea
Na kizazi kinachozeeka
Sanaa bora inayosifika
Haisahauliki hata kwa jicho la kupita
Ninatumai, ntakuwa nisoisha moyoni mwako
Mng’ao wa kudumu gizani
Ukiuamsha moyo wako kwa upole
Uwapo kwenye hali ya kunyamaa

Mfano wa kimya mang’aingani kikumbatiavyo ardhi bila mipaka
Natumai utaukumbatia moyo wangu kwa upendo
Ukinipa penzi liso vipimo wala mipaka
Kwani pendo laweza kuwa na ujazo – uso ukomo kama anga